DKT. MATARAGIO APOKELEWA RASMI WIZARA YA NISHATI
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati anayeshughulikia Mafuta na Gesi Asilia, Dkt. James Mataragio ameripoti na kupokelewa rasmi katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. S...
KIKAO CHA USHIRIKIANO WA VITENGO VYA UFATILIAJI NA TATHMINI BAINA YA SEKTA YA MAJI NA NISHATI
Leo kimefanyika kikao cha ushirikiano wa vitengo vya ufatiliaji na tathmini vya wizara ya maji na wizara ya nishati, kikao icho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano wa wizara ya maji Mtumba, Jijini Dodoma.Katika kikao icho kilichoongozwa na mkurugen...
DKT. MWIGULU AIAGIZA WIZARA YA NISHATI KUPANUA WIGO USAMBAZAJI GESI ASILIA
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza kasi ya kupanua mtandao wa usambazaji wa gesi asilia ili kukidhi mahitaji ya Taifa. Amesema kwa kufanya hivyo kutawawezesha wananchi kupata nafuu ya gharama katika uendeshaji wa v...
MHE.SALOME: VYOMBO VYA MOTO ZAIDI YA 15,000 VINATUMIA GESI ASILIA
MATUMIZI ya gesi asilia iliyoshindiliwa (CNG) katika sekta ya usafirishaji nchini yameendelea kuongezeka kwa kasi, huku zaidi ya vyombo vya moto 15,000 tayari vimeanza kutumia nishati hiyo inayotajwa kuwa nafuu na rafiki kwa mazingira.Hadi kufikia Ja...
MRADI WA EACOP WAFIKIA HATUA NZURI; SHEHENA YA KWANZA YATARAJIWA KUSAFIRISHWA JULAI 2026.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema utekelezaji wa mradi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) umefikia hatua nzuri, ambapo ifikapo mwezi Julai mwaka huu, shehena ya kwanza...
SERIKALI YABAINISHA MAENEO YA MIRADI YA UMEME WA JUA, KISHAPU KUZALISHWA MW 150
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba amesema Serikali imekwishabainisha na kufanya utafiti wa maeneo mbalimbali yanayofaa kuendelezwa kwa ajili ya miradi ya kuzalisha umeme kwa kutumia upepo na jua, ikiwa ni pamoja na Zuzu-Dodoma, Same-Kilima...
SEKTA YA FEDHA YAITWA KUSUKUMA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Serikali imetoa wito kwa wadau kutoka sekta ya fedha nchini kuanzisha huduma na bidhaa za kifedha zitakazowezesha ajenda ya nishati safi ya kupikia kusambaa zaidi, hususan kwa kuwawezesha wajasiriamali wadogo katika maeneo ya pembezoni na vijijini pa...
SERIKALI YAWAPONGEZA WADAU WA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imewapongeza wadau wa Nishati Safi ya Kupikia kwa kuendelea kuunga mkono juhudi za Serikali zinazolenga kuhakikisha kuwa asilimia 80 ya Watanzania wanatumia nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2034.Pongezi hizo zi...
Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Mhe. Alimwoni Chaula, ampongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanz...
Mstahiki Meya wa Jiji la Dodoma, Mhe. Alimwoni Chaula, leo Februari 04, 2026 amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwa kinara wa kampeni ya Nishati Safi ya Kupikia nchini.Mhe. Chaula amesema kuwa uongozi...
Mwenyekiti aimiza Uadilifu ndani Wizara ya Nishati na Taasis zake
Mwenyekiti wa Kamati za Uadilifu ya Wizara ya Nishati na Taasisi zake ambaye ni Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mha. Innocent Luoga amefungua kikao kazi cha wajumbe wa Kamati ya Uadilifu ya Wizara ya Nishati na Taasis zake, kilichofanyika Febr...
TAASISI 1,136 ZAHAMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wizara ya Nishati imesema hadi sasa taasisi 1,136 kati ya zaidi ya taasisi 30,000 zinazolisha watu zaidi ya 100 nchini zimehamia kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia, huku wadau wakihimizwa kuendelea kuunga mkono jitihada hizo ili kufikia lengo...
TANZANIA YAPIGA HATUA MAANDALIZI YA UWEKEZAJI WA NISHATI YA NYUKLIA
Tanzania imeendelea kupiga hatua katika maandalizi ya uwekezaji na uzalishaji wa umeme kwa kutumia nishati ya nyuklia, baada ya Serikali kukamilisha hatua kadhaa za awali ikiwemo mpango mkakati wa utekelezaji wa mradi huo.Hatua hiyo imeelezwa leo Feb...
TANZANIA YAVUTIA WAWEKEZAJI KATIKA JUKWAA LA WIKI YA NISHATI INDIA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, ameshiriki katika mdahalo wa Mawaziri kuhusu uwekezaji na uimarishaji wa ushirikiano wa kimataifa katika sekta ya mafuta na gesi, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Wiki ya Nishati ya India (India Energy W...
SERIKALI YAHAKIKISHA UPATIKANAJI ENDELEVU WA MAFUTA NCHINI.
Serikali kupitia Wizara ya Nishati imeahidi kuendelea kushirikiana kwa karibu na wadau wa sekta ya mafuta nchini ili kuhakikisha upatikanaji wa mafuta ya kutosha, salama na yanayopatikana kwa bei shindani kwa manufaa ya Taifa.Kauli hiyo imetolewa na...
WADAU WA TEKNOLOJIA ZA NISHATI SAFI YA KUPIKIA WATAKIWA KUONGEZA UBUNIFU
Wadau wa uzalishaji wa teknolojia za nishati safi ya kupikia wametakiwa kuongeza ubunifu katika bidhaa zao ili ziweze kumudu gharama kwa wananchi wengi zaidi sambamba na kupanua upatikanaji wake kote nchini.Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Nishati...
WANANCHI MONDULI WAHAMASISHWA KUUNGA MKONO AJENDA YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
Wizara ya Nishati imetoa wito kwa wananchi wa Wilaya ya Monduli kuachana na matumizi ya kuni na mkaa na badala yake watumie nishati safi ya kupikia, ili kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan za kuhakikisha ifikapo mwaka 2034, asil...
NAIBU WAZIRI WA NISHATI MHE. SALOME AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA WIKI YA NISHATI-INDIA 2026
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Salome Makamba, leo Januari 27, 2026 ameshiriki katika ufunguzi wa Maadhimisho ya Wiki ya Nishati India (India Energy Week – IEW 2026), yanayolenga kujadili na kuweka mikakati ya pamoja ya kukuza sekta ya nishati kwa nji...
BILIONI 6.2 KULIPA FIDIA LUDEWA- NDEJEMBI
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi amesema kiasi cha Sh. Bilioni 6,02 kinatarajiwa kuwalipwa na serikali kwa wananchi 347 wa Vijiji vya Lifua, Liugai na Masimavalafu wilayani Ludewa, Mkoa wa Njombe, waliopisha utekelezaji wa mradi wa umeme,...
TRIL.1.5/- ZA UMEME VITONGOJINI: NDEJEMBI AWASIHI MA-RC NA MA-DC KUSIMAMIA KWA UFANISI MRADI
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi, amewataka viongozi na watendaji wa ngazi za Mikoa na Wilaya kushirikiana kwa karibu na Wizara ya Nishati katika kusimamia utekelezaji wa Mradi wa Upelekaji Umeme katika vitongoji 9,009 nchini, ili kuhakiki...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imekutana na Viongozi watendaji Wizara ya Nishati
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, chini ya Mwenyekiti wake Mhe. Subira Mgalu (Mb), imekutana na viongozi na watendaji wa Wizara ya Nishati pamoja na baadhi ya taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo.Lengo la kikao hicho ni kupata uelewa wa...