ENGINEERS REGISTRATION BOARD TANZANIA


ISO 9001:2015 Certified

News

MWENYEKITI MTEULE WA BODI ERB, PROF. Bakari mwinyiwiwa ATEMBELEA SHULE YA UHANDISI MAHIRI NA UONGOZI (SoPEL) MOROGORO

October 15th, 2025

Mwenyekiti mteule wa Bodi ERB Prof. Bakari Mwinyiwiwa ametembelea Shule ya Uhandisi Mahiri na Uongozi (SoPEL) leo, tarehe 15 Oktoba 2025, katika ofisi za shule hiyo zilizopo katika jengo la NHC ghorofa ya nne, Morogoro, ambazo pia ni ofisi za ERB mkoa wa Morogoro. Prof. Mwinyiwiwa alipokelewa Kaimu Msajili Wakili Mercy G. Jilala, alipata muda wa kukutana na wakuu wa idara na vitengo na kuwataka kuendelea kutekeleza majukumu yao ili kuwa na ufanisi wa shughuli za Bodi ikiwemo usimamizi wa kazi za kihandisi nchini.

Recent Post